ApkDownload

Cheka Point - Vichekesho APK

最新版本 1.8 for Windows
更新 2020年June25日

信息

1.8 (#10)

更新 2020年June25日

APK檔案大小 13 MB

Android 最低版本需求 Android 4.1+ (Jelly Bean)

開發人員 Teeknet

類別 社交 (應用)

應用 ID com.videovichekesho.teeknet

開發者備註 Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho

螢幕截圖圖片

點擊圖像以查看完整尺寸

最新異動

Cheka Point - Vichekesho 1.8的新功能

Sasa Pakua WhatsApp Status kwa urahisi
Uliza maswali upate majibu pitia Telegram
Mitandao ya kijamii
Bugs Fix and Perfomance Improved

內容描述

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

評分和評論

評分:4.1 / 5 · ‎Less than 100 票

(*) 是必須的

之前的版本

Cheka Point - Vichekesho 1.8 APK - 下載 適用于 Windows - (#10, 13 MB)