MAKTABA APK
信息
版 2.5.0 (#20500000)
更新 2023年January30日
APK檔案大小 3.8 MB
Android 最低版本需求 Android 4.1+ (Jelly Bean)
開發人員 Netwebsites
類別 圖書與參考資源 (應用)
應用 ID com.maktaba.app
開發者備註 Uza Downloadable Documents Mtandaoni na Ujenge Kipato!
螢幕截圖圖片
點擊圖像以查看完整尺寸
內容描述
Unaweza kuuza documents yeyote ile ambayo unadhani watu wanaihitaji sana na wapo tayari kuilipia ili waipate. Waweza uza document kama Ebooks, research, ripoti, magazines, exams, calculations, business, legals, health, tips, michoro, designs, picha, graphics, logo, scripts, codes, templates, security codes, tips... Waweza uza documents za fani yeyote ile kama kilimo, afya, uhandisi, siasa, dini, masomo, sayansi, historia, ufugaji, mapishi, mahusiano, biashara, Tehama, uchumi…
Kujenga kipato chako mtandaoni ktk mtandao wa MAKTABA.NET.CO.TZ haihitaji uwe na mtaji wa ma milioni au laki kadhaa, bali kinachohitajika ni NGUVU YA AKILI YAKO, YOUR MENTAL ASSETS ambayo obvious unayo na kwa miaka mingi umekuwa ukiinoa shuleni mpaka ngazi za vyuo. Unachopaswa ni kujiamini na kuchukua hatua.
Fikiria mfano,Wewe ni mtu wa accounting, na unaanda training materials kuwasaidia wanafunzi kufanya mitihani ya bodi:
- Labda umeandaa booklets na kwa moja unauza kwa Tshs. 10,000/=
- Idadi ya wanafunzi wanaofanya mitihani hiyo wapo 5,000 na wewe ukafanikiwa kuwauzia wanafunzi 1,000 tu ndani ya miezi 2
- Mapato yako ya mauzo ni Tshs. 10,000 x 1,000 people = Tshs. 10,000,000/=
- Kwahiyo mauzo yako ndani ya siku 60 ni Tshs. 10,000,000/= na ukumbuke hii sio Biko au Kubet bali ni JUHUDI ZENYE UHAKIKA, THE POWER OF MENTAL ASSETS!
- Pia waweza uza past-trainings materils zako ambazo ulizitumia wewe kujiandaa pindi unasoma ili kumaximise zaidi fursa.
Document zako ambazo umezipakia mtandaoni kwajili ya kuziuza, zitaendelea kuuzika muda wa masaa 24x7 bila kujali wewe upo macho au umelala au unafanya majukumu mengine. Unaandaa document moja na kisha unauzia watu mamilioni Zaidi na Zaidi bila kubadili chochote kile; angalia namna biashara hii ilivyo na ufanisi mzuri. Kila baada ya muda Fulani toa toleo jingine la document yako ili wasomaji wako wanunue tena kila toleo jipya unalotoa ambalo ni mwendelezo wa lililopita (kama magazeti wanavyofanya); Huu ni uwekezaji mzuri kabisa wa kuuza digital assets zako mtandaoni na zikawa zinakuletea kipato endelevu muda wote. Tunaita DIGITAL ASSETS maana ni mali za kidijitari ambazo zinakuwa zinakutengenezea kipato mtandaoni.
Tunakuwezesha haya kwa njia ya mtandao wenye kuleta urahisi na ufanisi katika kutekeleza haya.
- Je, Simu na kompyuta yako vinakusaidia namna gani katika kujenga kipato chako?
- Umejiandaa namna gani na mapinduzi ya kidijitari ya uchumi?
- Mitandao yako ya kijamii inakusaidia namna gani kujenga kiuchumi?
Je, Vinakupunguzia kipato chako au kukuongezea?
Mteja analipa kwanza kisha ndio anafanya download ya document yako. Jenga kipato endelevu ktk uchumi wa kidijitari!
Akili ni Mali!
評分和評論
評分:5.0 / 5 · Less than 100 票
(*) 是必須的
之前的版本
類似內容
المكتبة الشاملة - تطبيق مجاني APK
المكتبة الشاملة جزء 2 - تطبيق مجاني APK
Hisnul Muslim | حصن المسلم APK
مجموعة التفاسير- تفسير القرآن APK
مكتبة العلامة المحدث الالباني APK
更多由「Netwebsites」提供的項目
下載次數最多的應用和遊戲
فیلتر شکن جدید و قوی،فیلتر شکن قوی و پرسرعت رایگان APK