Katekisimu Ndogo APK
Uygulama hakkında bilgi
Sürüm 1.0 (#1)
Güncellendi 15 October 2018
APK Boyutu 2 MB
Gereken Android sürümü Android 4.0+ (Ice Cream Sandwich)
Sunan AlberaInfoTech
Kategori Ücretsiz Eğitim Uygulama
Uygulama id application.alberainfotech.katekisimundogo.com.katekisimundogo
Geliştirici notları Katekisimu Ndogo Ya Kanisa katoliki
Ekran Görüntüsü Resmi
Tam boyutunu görmek için resmin üzerine tıklayın
İçindekiler Tablosu
En son güncellemeler
Katekisimu Ndogo 1.0 deki yenilikler
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
Açıklama
Uygulama hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya da Kanisa Katolik, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadife vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kikika katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI
- Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na
majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.
1.0: NASADIKI
1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA
1.3: YESU KRISTÜ MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA
1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PİLATO AKATESW AKAFA AKAZİKA AKAŞKANIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU
1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI
1.6: TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU
1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU
1.8: KANISA TAKATIFU KATOLIKI
1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU
1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI
1.11: UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE
2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI
-Sehemu hii inatoa majibu ya da maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti
umuhimu wa Sakramenti, nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:
2.0: LITURJIA
2.1: NEEMA
2.2: SAKRAMENTI
2.3: VISAKRAMENTI
2: 4: SALA
3: SEHEMU YA TATU: AMRI
Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Muni na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila, aina za fadhila, dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake,
na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.
3.0: AMRI KUU
3.1: AMRI KUMI ZA MNGU
3.2: AMRI ZA KANISA
3.3: FADHILA
3.4: DHAMİRİ
3.5: DHAMBI
3.6: VISHAVISHI
4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU
Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki am yalama ve mai na shughuli zao za kila siku,
namna ya kusali, wakati wa kusali iki günlüğüne um la Mun Mun sh sh sh sh sh sh sh sh sh sh sh sh gu gu gu gu gu gu gu gu gu gu gu gu gu gu Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun Mun
4.0: SALA ZA ASUBUHI
4.1: SALA YA JIONI
4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO
4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA
4.4: SALA ZA JIONI
4.5: SALA ZA KOMUNYIO
4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA
Reytingler ve İncelemeler
Kullanıcı oyu: 4.7 / 5 · Less than 100 oy
(*) gereklidir
Önceki sürümler
Katekisimu Ndogo benzer
AlberaInfoTech'dan daha fazlası
En çok indirilen uygulamalar
beIN CONNECT–Süper Lig,Eğlence APK