ApkDownload

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu APK

Последняя версия 1.2 для Windows
Обновлено 21 October 2018 г.

Информация

Версия 1.2 (#15)

Обновлено 21 October 2018 г.

Размер APK 15 MB

Требуемая версия Android Android 4.2+ (Jelly Bean)

Продавец Bongo Magz

Категории Бесплатные Стиль жизни Приложения

Приложения id com.neno.la.mungu

Записка автора Pakua App hii ujifunze neno la Mungu ,, Ubarikiwe na Mungu Wa Mbinguni

Снимки экрана

Нажмите на изображение, чтобы увидеть полный размер

Последние обновления

Что нового на Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2

Everything now fixed

Описание

Pakua App hii kwenye simu yako bure kabisa, hakika utafurahia Neno la uzima.


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha интернет. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.


КАКИЕ НОВОСТИ
Применение: hii imeboreshwa zaidi sasa furahia yafuatayo
1. Utapokea ujumbe mfupi (Уведомление) Kila mara neno jipya linapowekwa
2. Utaweza kusoma masomo yaliyopita hata kama hauna kifurushi cha internet
3. Utaweza kuwashirikisha wengine neno la siku husika kupitia whatsapp, facebook, n.k

Оценки и отзывы

Рейтинг: 4.8 из 5 · Less than 100 голоса

(*) требуется

Предыдущие версии

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2 APK для Windows (#15, 15 MB)