Bongo Land Music APK
Informazioni sull'Applicazione
Versione 9.8 (#10)
Aggiornata 05 November 2020
Dimensioni APK 9.6 MB
È necessario Android Android 4.1+ (Jelly Bean)
Offerta da BMIT Ltd
Categoria Applicazione Musica e audio Gratuiti
Applicazione id old2new.bongoflavour
Note di sviluppatore Pata Nyimbo Zote Mpya e Zamani Kutoka Kwa Wasanii Wote Wa Tanzania (Bongo)
Istantanee
Clicca sull'immagine per vederla a schermo intero
Ultimi aggiornamenti
Novità di Bongo Land Music 9.8
Nyimbo Zote (Mpya & Zamani)
Wasanii Wote (Wapya & Zamani)
Kusoma Hadithi Zitokanazo Na Nyimbo
Descrizione
Mtumiaji ataweza kupata yafuatayo;
> Kusikiliza nyimbo zote mpya & zamani
> Kutazama video za nyimbo zote mpya & zamani
> Kupakua (Scarica) nyimbo zote mpya & zamani
> Kusoma Lyrics za nyimbo zote mpya & zamani
> Kusoma taarifa na wasifu wa wasaani wote kutoka Tanzania
> Kusoma hadithi kutokana na maudhui ya nyimbo mbalimbali
App hii imesheheni nyimbo katika mpangilio tofauti tofauti kama vile;
> Bongo Fleva
> Singeli
> Taarabu
> Kwaya (Vangelo) nakadhalika
> Hadithi kutokana na nyimbo mbalimbali
App hii ni bure kabisa, hakuna malipo yoyote yanatotozwa kutumia App hii.
App hii imesheheni wasanii mbalimali na nyimbo zao. Hatuna haki miliki ya kuuza nyimbo za msanii yeyote, isipokuwa App hii imetengenezwa kwaajili ya kuwapatia burudani wapenzi mbalimbali wa muziki wa Tanzania (Bongo Flava).
Hivyo kama hutopendezwa na lolote katika App hii na ukahitaji jina, wimbo / nyimbo au taarifa zozote ziweze kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kupitia email hii; bmitechltd@gmail.com
Pakua App hii ili uweze kupata burudani na ladha nzuri za muziki Bongo.
Valutazioni e Recensioni
Valutazione: 5.0 su 5 · Less than 100 voti
(*) è obbligatorio
Versioni precedenti
Simile a Bongo Land Music
Music Player - Bass Booster APK
Congas & Bongo: percussione APK
Pi Music Player: Offline Music APK
Vanessa Mdee offline songs APK
Altre app di questo sviluppatore
All Fashion Styles And House Designs In One App APK
Flavour All Songs - Audio & Video APK
App più scaricate
فیلتر شکن جدید و قوی،فیلتر شکن قوی و پرسرعت رایگان APK