ApkDownload

Cheka Point - Vichekesho APK

Ultima versione 1.8 per Windows
Aggiornata 25 June 2020

Informazioni sull'Applicazione

Versione 1.8 (#10)

Aggiornata 25 June 2020

Dimensioni APK 13 MB

È necessario Android Android 4.1+ (Jelly Bean)

Offerta da Teeknet

Categoria Applicazione Social Gratuiti

Applicazione id com.videovichekesho.teeknet

Note di sviluppatore Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho

Istantanee

Clicca sull'immagine per vederla a schermo intero

Ultimi aggiornamenti

Novità di Cheka Point - Vichekesho 1.8

Sasa Pakua WhatsApp Status kwa urahisi
Uliza maswali upate majibu pitia Telegram
Mitandao ya kijamii
Bugs Fix and Perfomance Improved

Descrizione

HeCheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video to picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video Zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama na My Status.

Mengine Cheka Point

& Raquo; Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

& Raquo; Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

& Raquo; Utaweza kuweka Video za kuchekesha, pic za za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

& Raquo; Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

& Raquo; Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

& Raquo; Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

& Raquo; Na mambo mengine mengi .....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

Valutazioni e Recensioni

Valutazione: 4.1 su 5 · Less than 100 voti

(*) è obbligatorio

Versioni precedenti

Cheka Point - Vichekesho 1.8 APK per Windows (#10, 13 MB)