ApkDownload

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu APK

Ultima versione 1.2 per Windows
Aggiornata 21 October 2018

Informazioni sull'Applicazione

Versione 1.2 (#15)

Aggiornata 21 October 2018

Dimensioni APK 15 MB

È necessario Android Android 4.2+ (Jelly Bean)

Offerta da Bongo Magz

Categoria Applicazione Lifestyle Gratuiti

Applicazione id com.neno.la.mungu

Note di sviluppatore Pakua App hii ujifunze neno la Mungu ,, Ubarikiwe na Mungu Wa Mbinguni

Istantanee

Clicca sull'immagine per vederla a schermo intero

Ultimi aggiornamenti

Novità di Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2

Everything now fixed

Descrizione

Pakua App hii kwenye simu yako bure kabisa, hakika utafurahia Neno la uzima.


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, basi hivyo mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo e Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.


COSA C'È DI NUOVO
Applicazione: hii imeboreshwa zaidi sasa furahia yafuatayo
1. Utapokea ujumbe mfupi (Notifica) Kila mara neno jipya linapowekwa
2. Utaweza kusoma masomo yaliyopita hata kama hauna kifurushi cha internet
3. Utaweza kuwashirikisha wengine neno la siku husika kupitia whatsapp, facebook, n.k

Valutazioni e Recensioni

Valutazione: 4.8 su 5 · Less than 100 voti

(*) è obbligatorio

Versioni precedenti

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2 APK per Windows (#15, 15 MB)