ApkDownload

Wapenda Soka APK

Ultima versione 1.0 per Windows
Aggiornata 26 May 2018

Informazioni sull'Applicazione

Versione 1.0 (#6)

Aggiornata 26 May 2018

Dimensioni APK 10.1 MB

È necessario Android Android 4.0+ (Ice Cream Sandwich)

Offerta da Cloudy 360 Technologies

Categoria Applicazione Sport Gratuiti

Applicazione id com.cloudy360.wapendasoka

Note di sviluppatore Pata Habari ZA michezo, Ratiba za Mechi, burudani za Soka ndani na Nje ya nchi!

Istantanee

Clicca sull'immagine per vederla a schermo intero

Descrizione

wapendasoka.com Ndiyo Kiunga pekee unachoweza kuperuzi na kusoma habari mbalimbali za mchezo maarufu za mpira wa miguu. Kupitia wapendasoka.com utaweza kupata habari zote za Soka, iwe ni uchambuzi Kabla na Baada ya Mechi, matokeo ya Mechi, misimamo ya Ligi mbalimbali Duniani. Habari za za uhakika kitaifa na kimataifa, il video mbalimbali kuhusu mchezo wa Soka. Habari mbalimbali za wachezaji na timu ZAO, mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu.

Tunafanya haya ili kukurahisishia wewe kuweza kufahamu yote unayohitaji kuhusu mchezo Huu unaopenda wa Soka. Endelea kutembelea wapendasoka.com na kila kilichoandikwa humu unaruhusiwa kushare Lakini hurusiwi kubadili chochote.

Kwa Maoni na ushauri tuandikie
wapendasoka@gmail.com

Valutazioni e Recensioni

Valutazione: 5.0 su 5 · Less than 100 voti

(*) è obbligatorio

Versioni precedenti

Wapenda Soka 1.0 APK per Windows (#6, 10.1 MB)