ApkDownload

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App APK

Versi Terbaru 9.8 untuk Windows
Diupdate 24 December 2023

Informasi Aplikasi

Versi 9.8 (#6)

Diupdate 24 December 2023

Ukuran APK 14.9 MB

Perlu Android versi Android 4.4+ (KitKat)

Ditawarkan Oleh SelfMade Technonology

Kategori Aplikasi Berita & Majalah Gratis

Aplikasi id tanzania.ccm

Catatan penulis CCM 2019 Hapa Kazi Tu, Karibu Tukijenge Chama Chetu

Gambar Screenshot

Klik pada gambar untuk melihat ukuran penuh

Deskripsi

pata Habari za kina za chama cha Mapinduzi kutoka majimbo yote tanzania
kamati kuu na Kila Habari yoyote ya
ndani na nje ya Chama kupitia aplikasi hii bure na kwa urahisi wewe Mwana ccm aplikasi hii si ya kukupita
pakua sasa kudumisha uzalendo na chama chako cha Mapinduzi

Hakika Mapinduzi ya Kweli ni Umoja wetu

pia kupitia App hii utaweza kubadilishana mawazo na wanachama wenzako wa ccm kutoka pande zote Duniani kwa Njia rahisi kabisa
tutaweka utaratibu wa Sisi wana ccm wa kuanzisha hoja mbalimbali kuhusu
chama chetu na nchi yetu kwa ujumla
aplikasi hii si ya kuipita domba betina Mwana ccm,
una mawazo au mapendekezo yoyote kuhusu chama hii ndio sehemu sahihi ya wewe
kuwasilisha hisia au mawazo yako kwa chama na kuwafikia wahusika
moja kwa moja

Karibu sana wewe Mwana ccm.

Peringkat dan Ulasan

Skor: 4.6/5 · Less than 100 suara

(*) diperlukan

Versi lama

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App 9.8 APK untuk Windows (#6, 14.9 MB)

CCM Tanzania - Chama cha Mapinduzi Official App 9.2 APK untuk Windows (#5, 6 MB)