ApkDownload

NECTA - Results APK

Versi Terbaru 9.6 untuk Windows
Diupdate 08 May 2020

Informasi Aplikasi

Versi 9.6 (#8)

Diupdate 08 May 2020

Ukuran APK 7.4 MB

Perlu Android versi Android 4.1+ (Jelly Bean)

Ditawarkan Oleh Bonrods

Kategori Aplikasi Pendidikan Gratis

Aplikasi id necta.results

Catatan penulis Pata Matokeo Yote ya Mitihani ya Taifa Kuanzia Darasa la Pili Mpaka ya Ualimu.

Gambar Screenshot

Klik pada gambar untuk melihat ukuran penuh

Deskripsi

App hii ya NECTA - Hasil ni mbadala wa App ya (NECTA Hasil). App hii imeboreshwa zaidi kuliko ile ya Kwanza ambayo ilikuwa inamlazimu mtumiaji Kutazama matokeo kwa Njia ya Browser. Lakini App iko tofauti kwani inakupa nafasi ya Kutazama matokeo moja kwa moja kupitia App Bila kupitia kwenye Browser.

Katika App hii utaweza kupata nafasi ya Kutazama matokeo yote kuanzia Darasa la pili mpaka matokeo ya ualimu yanayotolewa na Baraza la Mtihani Tanzania (NECTA).

Vilevile App mbali hii na kukupatia nafasi Kutazama matokeo mbalimbali ya mitihani ya Taifa, pia inakupatia Fursa ya kujua Habari mbalimbali zilizopo Katika bodi mbalimbali za elimu hapa nchini kama keji; Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, NACTE, TCU n.k

Tafadhali Usiache Kupakua App.

Peringkat dan Ulasan

Skor: 5.0/5 · Less than 100 suara

(*) diperlukan

Versi lama

NECTA - Results 9.6 APK untuk Windows (#8, 7.4 MB)