ApkDownload

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu APK

Versi Terbaru 1.2 untuk Windows
Diupdate 21 October 2018

Informasi Aplikasi

Versi 1.2 (#15)

Diupdate 21 October 2018

Ukuran APK 15 MB

Perlu Android versi Android 4.2+ (Jelly Bean)

Ditawarkan Oleh Bongo Magz

Kategori Aplikasi Gaya Hidup Gratis

Aplikasi id com.neno.la.mungu

Catatan penulis Pakua Aplikasi hii ujifunze neno la Mungu ,, Ubarikiwe na Mungu Wa Mbinguni

Gambar Screenshot

Klik pada gambar untuk melihat ukuran penuh

Apa yang baru

Apa yang baru di Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2

Everything now fixed

Deskripsi

Pakua Aplikasi hii kwenye simu yako bure kabisa, hakika utafurahia Neno la uzima.


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.


APA YANG BARU
Aplikasi: hii imeboreshwa zaidi sasa furahia yafuatayo
1. Utapokea ujumbe mfupi (Pemberitahuan) Kila mara neno jipya linapowekwa
2. Utaweza kusoma masomo yaliyopita hata kama hauna kifurushi cha internet
3. Utaweza kuwashirikisha wengine neno la siku husika kupitia whatsapp, facebook, n.k

Peringkat dan Ulasan

Skor: 4.8/5 · Less than 100 suara

(*) diperlukan

Versi lama

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2 APK untuk Windows (#15, 15 MB)