ApkDownload

Nataka Ndoa App APK

Versi Terbaru 6.0.0 untuk Windows
Diupdate 27 December 2023

Informasi Aplikasi

Versi 6.0.0 (#6)

Diupdate 27 December 2023

Ukuran APK 21 MB

Perlu Android versi Android 5.0+ (Lollipop)

Ditawarkan Oleh East Africa

Kategori Aplikasi Sosial Gratis

Aplikasi id com.nataka.ndoa

Catatan penulis Aplikasi kwa watu wenye uhitaji wa ndoa tu. Tafuta mwenza wa maisha yako.

Gambar Screenshot

Klik pada gambar untuk melihat ukuran penuh

Deskripsi

Mfumo huu ni maalumu kwa watu wenye uhitaji wa ndoa. Jamii yetu imejaa watu wenye umri mkubwa na hawajaingia keenye ndoa. Ama kwa kukosa machaguo sahihi ama kwa kuachwa na wenza wao. Lengo kuu la mfumo huu ni kuondoa wane wa jinsia zote ili wapate wenza wao wasitiriane. Ndoa ni jambo jema sana. Ikiwa una lengo zuri la kutaka mke au mume basi mfumo huu ni sahihi kwako. Kama nia yako ni dhambi ya uzinzi basi umekosea njia.
Aplikasi Sifa za hii:
1. Kujisajili ni bure kwa wote
2. Kila mtafuta mwenza atakayeposti picha yake, haitaonekana moja kwa moja hadi ipitiwe na wahudumu wetu na kama haina vigezo basi itafutwa. Ikiwa ina vigezo basi itaachiwa ionekane.
3. Unaweza ku like picha ya mtu, kusambaza ujumbe wa hitaji lake la ndoa kwenye mitandao mingine, au kufuta picha yako endapo utakuwa umempata mwenza wako
4. Ili upate namba za simu za muhusika ni lazima uchati naye

Muhimu:
Ukiwa nia yako ni uzinzi tunaomba usiipakue app hii. Humu wanahitajika watu makini na wenye uhitaji wa kupata wenza wa maisha yao tu. Uzinzi ni dhambi kubwa na chukizo mbele za Mwenyezi Mungu wetu. Ukibainika uko kwa lengo la uzinzi utafutwa muda wowote.

Peringkat dan Ulasan

Skor: 5.0/5 · Less than 100 suara

(*) diperlukan

Versi lama

Nataka Ndoa App 6.0.0 APK untuk Windows (#6, 21 MB)