ApkDownload

BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko APK

Versi Terbaru 3.4 untuk Windows
Diupdate 21 April 2021

Informasi Aplikasi

Versi 3.4 (#14)

Diupdate 21 April 2021

Ukuran APK 12.1 MB

Perlu Android versi Android 4.1+ (Jelly Bean)

Ditawarkan Oleh Fatuma Inc

Kategori Aplikasi Hiburan Gratis

Aplikasi id com.fatuma.pumba

Catatan penulis BongoMeme Pata Video Fupi Za Vichekesho, Vituko, Vunjambavu maalum kwa status

Gambar Screenshot

Klik pada gambar untuk melihat ukuran penuh

Apa yang baru

Apa yang baru di BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.4

Imeongezwa mara mbili zaidi
Categories mbalimbali zimeongezwa
Sasa kila mtu anauwezo wa ku sign in na kuweka vichekesho vyake
Matangazo yamepunguzwa kwa kiasi kikubwa
Video player imeboreshwa na kuwa ya mvuto zaidi
Minor bugs fixed!

Deskripsi

BongoMeme ni app pekee inayokuletea Vichekesho, Vituko na Video za Vunjambavu kwenye simu janja yako kwa mtindo wa kijanja na usiochosha kizembe.Ndani ya app ya BongoMeme kuna Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti, MC Pilipili, Kingwendu, Bambo, Katarina wa Karatu, Madenge, Mkude Simba, Bwakila, Mau, Kinyambe na wengine kibao vinapatikana hapa ..!

😱 HATUJAMALIZA BADO 😱

Achana na App za kiboya za vichekesho ndani ya app una uwezo wa kudownload chochote na kupost kichekesho chochote kupitia akun profil yako Video, Meme, Gambar Lucu, Quotes na mazagazaga mengine kibaooo 😉

😲 LAKINI PIAAAA 😲
Pata Vichekesho vya mfumo mbalimbali wa kijanja .... ulijua ni video za vichekesho tuuu? ...... Utafeli weweee 😂😂😂 check list nzima chini: 👇👇

🔥 VIDEO ZA VICHEKESHO, VITUKO, VUNJAMBAVU 🔥

Segmen hii unapata video zote kali na za kucheckesha zinazobamba mitandaoni nje na ndani ya taifa la bongo kama: Mkali wenu, Joti, Mpoki, Jalal Brothers, Kingbach, Logan Paul, Mkude simba, Bwakila, masanja, Jaymondy, Dullvanni, Ebitoke, Anko Zumobitoke , Katarina wa Karatu .... na Video Lucu nyingine kibao kama:
🤜- Vichekesho Vya Anko Zumo
🤜- Vichekesho Vya Joti
🤜- Vichekesho Vya Stan Bakora
🤜- Vichekesho Vya Ebitoke
🤜- Vichekesho Vya Dullvanni
🤜- Vichekesho Vya Jaymondy
🤜- Vichekesho Vya Mkali Wenu
😂😂😂 Na Udambwi Udambwi mwingine kibaaaaoo wa motoooo 😂😂😂

🔥 PICHA ZA VICHEKESHO {BONGO MEME} 🔥

Ndani ya picha za vichekesho | vituko | vunjambavu unapata mkusanyiko wa memes za kuwafurahisha teman kwenye status mitandaoni kwa urahisi. Chap bila zengwe daka memes toka kwa wakali wa IG kama Mr. Misifa, Abuu Maujanja, Ally Muzungu, Bongo Katuni, Daquan na wengine kibao ...... check meme kama:
😂- Vichekesho Vya Mr. Misifa
😂- Vichekesho Vya Abuu Maujanja
😂- Vichekesho Vya Ally Muzungu
😂- Vichekesho Vya Bongo Katuni
😂- meme cinta
😂- meme hubungan
😂- meme baru
😂- meme populer


FITUR VIDEO BONGOMEME UTAMA:
★ Uwezo wa ku unduh video, meme, kutipan, file gif
★ Bagikan status kama kwenye mitandao ya kijamii
★ Penghemat status Uwezo wa kutumika kama
★ Machache Matangazo
★ Haitumii bundel kubwa yaitu video ni fupi
★ Tumia Bila Bundle yaitu angalia menyimpan video
★ Muenekano mzuri na wa kijanja


PENOLAKAN:
Kami tidak memiliki atau menghosting Gambar, SMS, atau video ini. Mereka tersedia untuk umum untuk semua orang di YouTube dan Situs Berbagi Konten lainnya.

Peringkat dan Ulasan

Skor: 4.3/5 · Less than 100 suara

(*) diperlukan

Versi lama

BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.4 APK untuk Windows (#14, 12.1 MB)

BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.3 APK untuk Windows (#13, 13.2 MB)