ApkDownload

Tamthilia Zetu APK

Versi Terbaru 9.8 untuk Windows
Diupdate 27 April 2021

Informasi Aplikasi

Versi 9.8 (#11)

Diupdate 27 April 2021

Ukuran APK 9.2 MB

Perlu Android versi Android 4.4+ (KitKat)

Ditawarkan Oleh MALLTEC

Kategori Aplikasi Hiburan Gratis

Aplikasi id com.bongostazi

Catatan penulis Tazama Tamthilia Zote Za Kiswahili Za Msimu Mpya Kila Siku

Gambar Screenshot

Klik pada gambar untuk melihat ukuran penuh

Apa yang baru

Apa yang baru di Tamthilia Zetu 9.8

Tamthilia zote za msimu mpya

Deskripsi

Tamthilia Zetu ni App inayokupatia nafasi ya kutazama mfululizo wa Tamthilia mbalimbali za Kibongo kupitia simu yako ya mkononi bure.

Kwa wale wanaokosa muda wa kutazama Tamthilia hizo majumbani wataweza kutazama Tamthilia zote hizo kwa kutumia simu zao za mkononi.

Mbali na Tamthilia hizo App hii pia inamuwezesha mtumiaji kuweza kutazam Film zingineza Kibongo mpya na za zamani.

SIFA ZA APP HII
> Muonekano mzuri wa picha
> Ni bure kutumia
> Haihitaji kujisajili
> Inafanya kazi haraka

KANUSHO:
Maudhui yote yalitomika katika App hii ni haki miliki ya wamiliki husika. Sisi hatuna haki miliki ya maudhui yaliyotumika katika App hii isipokuwa tumeyatumia kuwa sehemu ya burudani kwa mtumiaji.

Kama utaona kuna chochote kinahitaji kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kwa kupitia email iliyopo hapo chini.

Peringkat dan Ulasan

Skor: 5.0/5 · Less than 100 suara

(*) diperlukan

Versi lama

Tamthilia Zetu 9.8 APK untuk Windows (#11, 9.2 MB)