ApkDownload

Nyota Njema - Kisima Cha Maarifa APK

Dernière version 1.0 pour Windows
Mise à jour 07 April 2018

Informations

Version 1.0 (#1)

Mise à jour 07 April 2018

Taille APK 6.4 MB

Nécessite Android Android 4.4+ (KitKat)

Proposée par Smart Daddy Inc

Catégorie App de Style de vie Gratuits

App id com.nyotanjema.tza

Notes d'auteur Nyota Njema-Kisima Cha Maarifa (Pata Maarifa Mbalimbali Uboreshe Maisha Yako !!)

Captures d'écran

Cliquez sur l'image pour la voir en taille réelle

Tableau des matières

Description

Karibu Nyota Njema: Kisima Cha Maarifa Uchote Maarifa Mbalimbali Uboreshe Maisha Yako

Ukiwa na App ya Nyota Njema Utajipatia Mkusanyiko wa mambo yafutayo

1 # Mahusiano, Ndoa na Mapenzi

2 # Biashara Kwa ujumla

3 # Urembo na Utanashati

4 # Afya Bora na Mazoezi

5 # Kilimo na Ufugaji

6 # Mikasa Riwaya na Simulizi

7 # Nasaha Muhimu za Maisha

Na Mengine mengii sana utayatapata Ukiwa na app Yako Moja Pekee ya Nyota Njema. Karibu Nyota Njema: Kisima Cha Maarifa Karibu tung'are Pamoja Ndani ya Nyota Njema-Kisima Cha Maarifa.

Tujifunze kwa Pamoja Hakuna anayejua sana ila wote tunahitaj kijifunza ili tuongezee ujuzi na maarifa katika mambo mbali mbali katika Maisha Yetu na jamii inayotuzunguka. Mwalimu ni mimi na wewe si mwingine Zaidi.
Kwa tatizo, Ushauri au Maoni tutumie Ujumbe Wako kwa Email HII: Joesmartdaddy@gmail.com

Notes et avis

Note: 1.0 sur 5 · Less than 100 votes

(*) est nécessaire

Versions précédentes

Nyota Njema - Kisima Cha Maarifa 1.0 APK pour Windows (#1, 6.4 MB)