ApkDownload

Tamthilia Zetu APK

Dernière version 9.8 pour Windows
Mise à jour 27 April 2021

Informations

Version 9.8 (#11)

Mise à jour 27 April 2021

Taille APK 9.2 MB

Nécessite Android Android 4.4+ (KitKat)

Proposée par MALLTEC

Catégorie App de Divertissement Gratuits

App id com.bongostazi

Notes d'auteur Tazama Tamthilia Zote Za Kiswahili Za Msimu Mpya Kila Siku

Captures d'écran

Cliquez sur l'image pour la voir en taille réelle

Dernières mises à jour

Nouveautés sur Tamthilia Zetu 9.8

Tamthilia zote za msimu mpya

Description

Tamthilia Zetu ni App inayokupatia nafasi ya kutazama mfululizo wa Tamthilia mbalimbali za Kibongo kupitia simu yako ya mkononi bure.

Kwa wale wanaokosa muda wa kutazama Tamthilia hizo majumbani wataweza kutazama Tamthilia zote hizo kwa kutumia simu zao za mkononi.

Mbali na Tamthilia hizo App hii pia inamuwezesha mtumiaji kuweza kutazam film zingineza Kibongo mpya na za zamani.

SIFA ZA APP HII
> Muonekano mzuri wa picha
> Ni bure kutumia
> Haihitaji kujisajili
> Inafanya kazi haraka

KANUSHO:
Maudhui yote yalitomika katika App hii ni haki miliki ya wamiliki husika. Sisi hatuna haki miliki ya maudhui yaliyotumika katika App hii isipokuwa tumeyatumia kuwa sehemu ya burudani kwa mtumiaji.

Kama utaona kuna chochote kinahitaji kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kwa kupitia email iliyopo hapo chini.

Notes et avis

Note: 5.0 sur 5 · Less than 100 votes

(*) est nécessaire

Versions précédentes

Tamthilia Zetu 9.8 APK pour Windows (#11, 9.2 MB)