ApkDownload

Chadema Tanzania APK

Dernière version 9.2 pour Windows
Mise à jour 10 December 2022

Informations

Version 9.2 (#6)

Mise à jour 10 December 2022

Taille APK 6 MB

Nécessite Android Android 4.0+ (Ice Cream Sandwich)

Proposée par SelfMade Technonology

Catégorie App de Actualités et magazines Gratuits

App id chadema.tz2020

Notes d'auteur Chadema Tanzanie, Tunataka Mabadiliko et Kweli 2020

Captures d'écran

Cliquez sur l'image pour la voir en taille réelle

Tableau des matières

Description

App HII imeandaliwa kwa Ajili ya wanachama wa Chadema
Juu ya kuwa habarisha Habari mbalimbali zinazo jiri Ndani ya
Chama Pamoja na kuhabarisha oumma Juu ya matukio na
Mikasa inayo tokea kuwa Husu viongozi wa Chama Chetu

vile vile application HII inakupa Fursa ya kujadili habari mbalimbali na wanachama
wengine Kupitia sehemu iliyo andikwa Forum Chat HAPO utaweza kutoa Maoni Yako
mapendekezo Yako Pamoja na vidéo Kutuma, Picha za matukio mbalimbali ya kisiasa hususa zinazo Husu Chadema

pia utaweza ku part mawazo.hoja na na mapendekezo Yako wanachama wengine Kupitia hiyo forum.

Onyo: Hairuhusiwi kutukana, ku télécharger Picha za Mapenzi, Pamoja kumdhalilisha mtu yoyote katika hiyo forum.
ukibainika unafanya hivyo unaweza ku blockiwa

Chadema tunategeme kupata Hoja mbalimbali Mawazo Juu ya kulikomboa Taifa letu nasi kubbughuzi watu wengine.

pia utaweza kuangali watumiaji Pamoja na kuchat nao privé

Notes et avis

Note: 4.6 sur 5 · Less than 100 votes

(*) est nécessaire

Versions précédentes

Chadema Tanzania 9.2 APK pour Windows (#6, 6 MB)