ApkDownload

Bongo Land Music APK

Última Versión 9.8 para Windows
Actualizada 05 de November de 2020

Información de la Aplicación

Versión 9.8 (#10)

Actualizada 05 de November de 2020

Tamaño APK 9.6 MB

Requiere Android Android 4.1+ (Jelly Bean)

Ofrecida por BMIT Ltd

Categoría Aplicación Música y audio Gratis

Aplicación id old2new.bongoflavour

Notas del desarrollador Pata Nyimbo Zote Mpya y Zamani Kutoka Kwa Wasanii Wote Wa Tanzania (Bongo)

Capturas de pantalla

Haga clic en la imagen para verla en tamaño completo

Últimas actualizaciones

Novedades de Bongo Land Music 9.8

Kusikiliza, Kutazama & Kudownload
Nyimbo Zote (Mpya & Zamani)
Wasanii Wote (Wapya & Zamani)
Kusoma Hadithi Zitokanazo Na Nyimbo

Descripción

Bongo Land Music ni App bora kabisa ambayo inampatia nafasi mtumiaji kuweza kusikiliza, kutazama na kupakua nyimbo zote kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania (Bongo). Nyimbo zote mpya y zamani zinapatikana katika App hii.

Mtumiaji ataweza kupata yafuatayo;
> Kusikiliza nyimbo zote mpya & zamani
> Kutazama video za nyimbo zote mpya & zamani
> Kupakua (Descargar) nyimbo zote mpya & zamani
> Kusoma Lyrics za nyimbo zote mpya & zamani
> Kusoma taarifa na wasifu wa wasaani wote kutoka Tanzania
> Kusoma hadithi kutokana na maudhui ya nyimbo mbalimbali

Aplicación hii imesheheni nyimbo katika mpangilio tofauti tofauti kama vile;
> Bongo Fleva
> Singeli
> Taarabu
> Kwaya (Evangelio) nakadhalika
> Hadithi kutokana na nyimbo mbalimbali

Aplicación hii ni bure kabisa, hakuna malipo yoyote yanatotozwa kutumia App hii.

Aplicación hii imesheheni wasanii mbalimali na nyimbo zao. Hatuna haki miliki ya kuuza nyimbo za msanii yeyote, isipokuwa App hii imetengenezwa kwaajili ya kuwapatia burudani wapenzi mbalimbali wa muziki wa Tanzania (Bongo Flava).

Hivyo kama hutopendezwa na lolote katika App hii na ukahitaji jina, wimbo / nyimbo au taarifa zozote ziweze kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kupitia email hii; bmitechltd@gmail.com

Aplicación Pakua hii ili uweze kupata burudani na ladha nzuri za muziki Bongo.

Valoraciones y Reseñas

Valoración: 5.0 de 5 · Less than 100 votos

(*) es necesario

Versiones anteriores

Bongo Land Music 9.8 APK para Windows (#10, 9.6 MB)