ApkDownload

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu APK

Última Versión 1.2 para Windows
Actualizada 21 de October de 2018

Información de la Aplicación

Versión 1.2 (#15)

Actualizada 21 de October de 2018

Tamaño APK 15 MB

Requiere Android Android 4.2+ (Jelly Bean)

Ofrecida por Bongo Magz

Categoría Aplicación Estilo de vida Gratis

Aplicación id com.neno.la.mungu

Notas del desarrollador Pakua App hii ujifunze neno la Mungu ,, Ubarikiwe na Mungu Wa Mbinguni

Capturas de pantalla

Haga clic en la imagen para verla en tamaño completo

Últimas actualizaciones

Novedades de Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2

Everything now fixed

Descripción

Aplicación de Pakua hii kwenye simu yako bure kabisa, hakika utafurahia Neno la uzima.


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo y Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.


QUÉ HAY DE NUEVO
Aplicación: hii imeboreshwa zaidi sasa furahia yafuatayo
1. Utapokea ujumbe mfupi (Notificación) Kila mara neno jipya linapowekwa
2. Utaweza kusoma masomo yaliyopita hata kama hauna kifurushi cha internet
3. Utaweza kuwashirikisha wengine neno la siku husika kupitia whatsapp, facebook, n.k

Valoraciones y Reseñas

Valoración: 4.8 de 5 · Less than 100 votos

(*) es necesario

Versiones anteriores

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2 APK para Windows (#15, 15 MB)