ApkDownload

Kilimo na Ufugaji Blog.App APK

Última Versión 1.0 para Windows
Actualizada 04 de February de 2023

Información de la Aplicación

Versión 1.0 (#9)

Actualizada 04 de February de 2023

Tamaño APK 15.9 MB

Requiere Android Android 4.2+ (Jelly Bean)

Ofrecida por UmojaApps

Categoría Aplicación Productividad Gratis

Aplicación id com.kilimo.na.ufugaji.blog.app

Notas del desarrollador Ukiweka aplicación HII lazima ufanikiwe kuwa tajiri kupitia Kilimo na ufugaji nchini

Capturas de pantalla

Haga clic en la imagen para verla en tamaño completo

Últimas actualizaciones

Novedades de Kilimo na Ufugaji Blog.App 1.0

Ukiweka app hii lazima ufanikiwe kuwa tajiri kupitia kilimo na ufugaji hapa nchini.
App ya kilimo na ufugaji ni mahususi kwa vijana wanaotaka kujiajiri kwa kilimo
App hii ina mafunzo ya kilimo bora, ufugaji bora na jinsi ya kulima zao lolote lile na kufuga mifugo yoyote ile
Share App hii kwa marafiki nao wajifunze kilimo na ufugaji ili Taifa letu liwe na chakula cha kutosha na kuwa na maisha bora kwa kila mkulima na mfugaji

Descripción

Aplicación HII inawasaidia vijana Wengi kujifunza Jinsi ya kujiajiri kupitia FULSA ya Kilimo na ufugaji ambayo ni FULSA kubwa kwa Sasa nchini. Kila siku Watu au Binadamu lazima Wale chakula HII inatuhakikishia kuwa tukilima kwa kutumia utalaamu au tukifuga kwa kutumia utalaamu tutauza tu kwakua walaji wapo.

usihangaike Tena Tena wala usisikitike kuwa Kilimo ulichokuwa unafanya hakikuwa na tija au ufugaji uliokuwa unafanya haukuleta mafanikio weka Sasa aplicación ya Kilimo na ufugaji kwenye simu Yako uweze kujifunza kwa vitendo Kilimo cha ZAO lolote Lile au mifugo ya Aina yoyote ile.

Aplicación ina HII watalaamu Zaidi ya Mmoja waliosomea vyuo vikuu VYA Kilimo Kama SUA hivyo utapata elimu sahihi ya Kilimo bora bora ufugaji na.

Saidia kupambana na umaskini kwa kushare aplicación HII ili iwafikie Watu Wengi na tuzalishe Mazao Mengi Zaidi ya Kilimo na mifugo.

NCHI yetu ni Tajiri sana ina ina maeneo makubwa Udongo Mzuri kwa Kilimo na ina maeneo Mazuri kwa ufugaji ni sisi tu kuvitumia vyema FULSA hizi.

Kushare aplicación HII kwa marafiki watumie enlace HII. (próximamente)

Valoraciones y Reseñas

Valoración: 4.8 de 5 · Less than 100 votos

(*) es necesario

Versiones anteriores

Kilimo na Ufugaji Blog.App 1.0 APK para Windows (#9, 15.9 MB)

Kilimo na Ufugaji Blog.App 1.0 APK para Windows (#4, 10.6 MB)