ApkDownload

Bongo Land Music APK

Neueste Version 9.8 für Windows
Aktualisiert 05. November 2020

Information

Version 9.8 (#10)

Aktualisiert 05. November 2020

APK-Dateigröße 9.6 MB

Erforderliche Android-Version Android 4.1+ (Jelly Bean)

Angeboten von BMIT Ltd

Kategorie Kostenlose Musik & Audio

Anwendung id old2new.bongoflavour

Hinweise des Entwicklers Pata Nyimbo Zote Mpya & Zamani Kutoka Kwa Wasanii Wote Wa Tansania (Bongo)

Screenshot

Klicken Sie auf das Bild, um es in voller Größe anzuzeigen

Neue Funktionen

Was ist neu in Bongo Land Music 9.8

Kusikiliza, Kutazama & Kudownload
Nyimbo Zote (Mpya & Zamani)
Wasanii Wote (Wapya & Zamani)
Kusoma Hadithi Zitokanazo Na Nyimbo

Beschreibung

Bongo Land Musik ni App bora kabisa ambayo inampatia nafasi mtumiaji kuweza kusikiliza, kutazama na kupakua nyimbo zote kutoka kwa wasanii wote wa Tansania (Bongo). Nyimbo zote mpya & zamani zinapatikana katika App hii.

Mtumiaji ataweza kupata yafuatayo;
> Kusikiliza nyimbo zote mpya & zamani
> Kutazama Video za nyimbo zote mpya & zamani
> Kupakua (Download) nyimbo zote mpya & zamani
> Kusoma Lyrics za nyimbo zote mpya & zamani
> Kusoma taarifa na wasifu wa wasaani wote kutoka Tansania
> Kusoma hadithi kutokana na maudhui ya nyimbo mbalimbali

App hii imesheheni nyimbo katika mpangilio tofauti tofauti kama vile;
> Bongo Fleva
> Singeli
> Taarabu
> Kwaya (Evangelium) Nakadhalika
> Hadithi kutokana na nyimbo mbalimbali

App hii ni bure kabisa, hakuna malipo yoyote yanatotozwa kutumia App hii.

App hii imesheheni wasanii mbalimali na nyimbo zao. Hatuna haki miliki ya kuuza nyimbo za msanii yeyote, isipokuwa App hii imetengenezwa kwaajili ya kuwapatia burudani wapenzi mbalimbali wa muziki wa Tansania (Bongo Flava).

Hivyo kama hutopendezwa na lolote katika App hii na ukahitaji jina, wimbo / nyimbo au taarifa zozote ziweze kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kupitia email hii; bmitechltd@gmail.com

Pakua App hii ili uweze kupata burudani na ladha nzuri za muziki Bongo.

Bewertungen und Rezensionen

Bewertung: 5.0 / 5 · Less than 100 Ergebnisse

(*) ist erforderlich

Frühere Versionen

Bongo Land Music 9.8 APK für Windows (#10, 9.6 MB)