ApkDownload

Ufugaji Yakinifu APK

Neueste Version 1.0 für Windows
Aktualisiert 17. October 2017

Information

Version 1.0 (#5)

Aktualisiert 17. October 2017

APK-Dateigröße 9.9 MB

Erforderliche Android-Version Android 4.0+ (Ice Cream Sandwich)

Angeboten von Christopha M Mbinda

Kategorie Kostenlose Lernen

Anwendung id com.ufugaji.yakinifu

Hinweise des Entwicklers Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa kisasa kupitia simu yako ya mkononi

Screenshot

Klicken Sie auf das Bild, um es in voller Größe anzuzeigen

Neue Funktionen

Was ist neu in Ufugaji Yakinifu 1.0

Imeboreshwa zaidi, sasa unaweza ukasoma masomo hata kama hauna MB

Beschreibung

Ufugaji yakinifu App Tumekuletea elimu ya ufugaji kiganjani mwako, sasa pakua app ya ufugaji yakinifu uweze kupata masomo mbalimbali yahusuyo ufugaji yanayotolewa na wataalamu wa mifugo walionbobea kwenye nyanja za ufugaji, Kupitia Ufugaji yakinifu app utaweza kupata masomo yahusuyo ufugaji yanayotolewa kila siku kupitia simu yako ya mkononi, Pia kupitia hii app utaweza kupata ujumbe mfupi (Notification) punde tu somo jipya linapo chapishwa, [pia Ufugaji yakinifu app inakupatia nafasi ya kupata masomo yahusuyo ufugaji hata kama hauna mb kwenye simu yako. Usisahau ku-share kwa rafiki naye apate ujuzi huu adimu, pia comment yako ni muhimu sana kwa uboreshaji wa app hii.

Bewertungen und Rezensionen

Bewertung: 4.3 / 5 · Less than 100 Ergebnisse

(*) ist erforderlich

Frühere Versionen

Ufugaji Yakinifu 1.0 APK für Windows (#5, 9.9 MB)