ApkDownload

Mawazo ya Biashara APK

Neueste Version 29.9.9 für Windows
Aktualisiert 13. December 2018

Information

Version 29.9.9 (#46)

Aktualisiert 13. December 2018

APK-Dateigröße 5.7 MB

Erforderliche Android-Version Android 4.2+ (Jelly Bean)

Angeboten von BongoChoice

Kategorie Kostenlose Lernen

Anwendung id com.tz.bestjobs

Hinweise des Entwicklers Pata business idea mbali mbali kuanzia mtaji mdogo hadi mkubwa

Screenshot

Klicken Sie auf das Bild, um es in voller Größe anzuzeigen

Beschreibung

Mawazo Ya Kibiashara
App hii inayo mkusanyiko wa makala ya ya mawazo kibiashara, ufugaji, uwekezaji Mdogo hadi Mkubwa, Pamoja na Biashara za mtandaoni. Makala Hayo tofauti tofauti yatakukusaidia kukujenga na kuamua ni Biashara IPI unaweza kuifanya kulingana na mtaji ulio nao.

Kunayo makala zaidi ya 300 ambayo yamefanyiwa utafiti na kubainika yanaweza yakaleta mabadiliko Chanya kwa wajasiriamali wadogo wadogo ndani ya Muda mfupi wa uwekezaji, pia App hii itakupa mbinu za kutunza mtaji Mdogo katika Biashara na kuukuza kuelekea kuwa mtaji Mkubwa.

App hii imewasaidia vijana zaidi ya 50 walioamua kufanyia kazi moja ya mawazo yaliyopo na kuwafanya kuwa wajasiriamali zu na wazalishaji zu. Kuna Mengi yakujifunza ndani ya App hii kuhusu Biashara ikiwemo
1.Jinsi ya kupata mtaji✔️
2.Jinsi ya kukuza mtaji Mdogo kuelekea mkubwa✔️
3.Jinsi ya kupanua biashara✔️
4.Jinsi ya kupata wateja wakudumu✔️
5.Jinsi ya kutangaza biashara✔️
6.Jinsi ya kuongeza uzalishaji✔️

Hayo ni machache kati ya yaliyomo kwenye App hii ambayo kwa uhakika tunajua yatakubadilisha na kukupa mitazamo mipya juu ya uwekezaji / Ujasiriamali. Karibu Pakua App Hii Uanze Kujifunza, Kwa Msaada wa haraka na maelezo zaidi wasiliana Nasi kwa E-Mail: choicebongo@gmail.com

Bewertungen und Rezensionen

Bewertung: 4.5 / 5 · 7+ Ergebnisse

(*) ist erforderlich

Frühere Versionen

Mawazo ya Biashara 29.9.9 APK für Windows (#46, 5.7 MB)