ApkDownload

Mjue sana Mungu APK

最新版本 8.0 for Windows
更新 2018年February03日

信息

8.0 (#2)

更新 2018年February03日

APK档案大小 3.3 MB

Android 系统版本要求 Android 4.0+ (Ice Cream Sandwich)

开发者 Emygidius

类别 教育 (应用)

应用 ID mjue.sanamungu2

开发者备注 programm server,where you will learn a lot about Goddiscussions, prayer and furum

屏幕截图图片

单击图像查看完整尺寸

新功能

Mjue sana Mungu 8.0的新功能

programm tumishi kwa ajili yako.
kuna mijadala mbalimbali katika kujifunza neno la Mungu.
biblia forum kwa ajili ya wewe kufundisha mada yoyote,
maombi na shuhuda, visa, maisha ya Yesu, nyimbo za injili nk

内容描述

ni programm tumishi ambayo imeandaliwa kwa ajili yako.
katika programm hii yafuatayo yapo
utapata ,
mijadala mbalimbali ya masomo kama
unabii, uwakili na kweli nyingine za Biblia. Na pia hapo katika sehemu hzo ni mfumo wa kuchart
pia kuna furum(BIBLIA FORUM) ambayo itakupatia nafasi ya kuandika mada na kufundisha juu ya kweli za biblia kwa upana wake.
utaweza kuanzisha mada kuelezea na watu kuelewa kuhusu Mungu, na pia katika forum hii ya Biblia utaweza kujifunza mengi.
pia kuna sehemu ya maombi, ambapo tunashirikiana katika kuombeana, na pia kuna sehemu ya kutoa shuhuda mbalimbali za visa ambayo mungu anazidi kutenda katika maisha yako.
pia katika progrma hii utapata kujua mambo mengi ambayo hukuyafahamu hapo kabla kuhusu mpango wa ukombozi wa mwanadamu.
baada ya kuona mema katika programm hii usisite kushare kwa marafiki wako wote.

kumbuka programm hii tumishi ni kwa ajili ya watu wote katika kujifunza habari ya Mungu bila kujali dhehebu lako.
karibu sana na Mungu akubariki sana katika Kristo Yesu amina.
rate app hii.

评分和评论

分:5.0 / 5 · Less than 100 票

(*) 是必须的

之前的版本

Mjue sana Mungu 8.0 APK - Windows 下载 - (#2, 3.3 MB)