ApkDownload

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu APK

الإصدار 1.2 for Windows
محدث 21 October 2018

معلومات

الإصدار 1.2 (#15)

محدث 21 October 2018

حجم ملف APK 15 MB

يتطلب Android Android 4.2+ (Jelly Bean)

مطوّر البرامج Bongo Magz

الفئة نمط حياة (تطبيق)

ID com.neno.la.mungu

ملاحظات المطور Pakua App hii ujifunze neno la Mungu ،،، Ubarikiwe na Mungu Wa Mbinguni

صورة الشاشة

انقر على الصورة لرؤية الحجم الكامل

الميزات الجديدة

ما هو الجديد في Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2

Everything now fixed

الوصف

Pakua App hii kwenye simu yako bure kabisa، hakika utafurahia Neno la uzima.


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya، hivyo basi mpendwa katika Krista unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku، Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.


ما هو الجديد
التطبيق: hii imeboreshwa zaidi sasa furahia yafuatayo
1. Utapokea ujumbe mfupi (Notification) Kila mara neno jipya linapowekwa
2. Utaweza kusoma masomo yaliyopita hata kama hauna kifurushi cha internet
3. Utaweza kuwashirikisha wengine neno la siku husika kupitia whatsapp، facebook، n.k

التقييمات والمراجعات

التقييم: 4.8 / 5 · Less than 100 صوتًا

(*) مطلوب

الإصدارات السابقة

Neno La Mungu,Mistari Ya Biblia, Barikiwa na Mungu 1.2 APK for Windows (#15, 15 MB)