MAKTABA APK
معلومات
الإصدار 2.5.0 (#20500000)
محدث 30 January 2023
حجم ملف APK 3.8 MB
يتطلب Android Android 4.1+ (Jelly Bean)
مطوّر البرامج Netwebsites
الفئة الكتب والمراجع (تطبيق)
ID com.maktaba.app
ملاحظات المطور Uza للتحميل الوثائق Mtandaoni na Ujenge Kipato!
صورة الشاشة
انقر على الصورة لرؤية الحجم الكامل
جدول المحتويات
الوصف
Unaweza kuuza documents yeyote ile ambayo unadhani watu wanaihitaji sana na wapo tayari kuilipia ili waipate. Waweza uza document kama Ebooks، research، ripoti، magazine، exams، calculations، business، legals، health، tips، michoro، designs، picha، graphics، logo، scripts، codes، templates، security codes، tips ... Waweza uza documents za fani yeyote ile kama kilimo، afya، uhandisi، siasa، dini، masomo، sayansi، historia، ufugaji، mapishi، mahusiano، biashara، Tehama، uchumi…
Kujenga kipato chako mtandaoni ktk mtandao wa MAKTABA.NET.CO.TZ haihitaji uwe na mtaji wa ma milioni au laki kadhaa، bali kinachohitajika ni NGUVU YA AKILI YAKO، AS MURAL ASSETS ambayo visible unayo na kwa miaka mingi umekuwa ukiinoa shuleni mpaka ngazi za vyuo . Unachopaswa ni kujiamini na kuchukua hatua.
Fikiria mfano، Wewe ni mtu wa accounting، na unaanda training materials kuwasaidia wanafunzi kufanya mitihani ya bodi:
- Labda umeandaa booklets na kwa moja unauza kwa Tshs. 10000 / =
- Idadi ya wanafunzi wanaofanya mitihani hiyo wapo 5،000 na wewe ukafanikiwa kuwauzia wanafunzi 1،000 tu ndani ya miezi 2
- مابوتو ياكو يا مازو ني تشيس. 10،000 × 1000 شخص = Tshs. 10000000 / =
- Kwahiyo mauzo yako ndani ya siku 60 ni Tshs. 10،000،000 / = na ukumbuke hii sio Biko au Kubet bali ni JUHUDI ZENYE UHAKIKA، THE POWER OF MENTAL ANDSES
- Pia waweza uza past-trainings materils zako ambazo ulizitumia wewe kujiandaa pindi unasoma ili kumaximise zaidi fursa.
Document zako ambazo umezipakia mtandaoni kwajili ya kuziuza، zitaendelea kuuzika muda wa masaa 24x7 bila kujali wewe upo macho au umelala au unafanya majukumu mengine. Unaandaa document moja na kisha unauzia watu mamilioni Zaidi na Zaidi bila kubadili chochote kile؛ angalia namna biashara hii ilivyo na ufanisi mzuri. Kila baada ya muda Fulani toa toleo jingine la document yako ili wasomaji wako wanunue tena kila toleo jipya unalotoa ambalo ni mwendelezo wa lililopita (kama magazeti wanavyofanya)؛ Huu ni uwekezaji mzuri kabisa wa kuuza digital assets zako mtandaoni na zikawa zinakuletea kipato endelevu muda wote. Tunaita DIGITAL ASSETS maana ni mali za kidijitari ambazo zinakuwa zinakutengenezea kipato mtandaoni.
Tunakuwezesha haya kwa njia ya mtandao wenye kuleta urahisi na ufanisi katika kutekeleza haya.
- Je، Simu na kompyuta yako vinakusaidia namna gani katika kujenga kipato chako؟
- Umejiandaa namna gani na mapinduzi ya kidijitari ya uchumi؟
- Mitandao yako ya kijamii inakusaidia namna gani kujenga kiuchumi؟
Je، Vinakupunguzia kipato chako au kukuongzea؟
تحميل لعبة كاونيز كشا ndio anafanya تحميل ya وثيقة ياكو. Jenga kipato endelevu ktk uchumi wa kidijitari!
اكيلي ني مالي!
التقييمات والمراجعات
التقييم: 5.0 / 5 · Less than 100 صوتًا
(*) مطلوب
الإصدارات السابقة
متشابهة
المكتبة الشاملة - تطبيق مجاني APK
المكتبة الشاملة جزء 2 - تطبيق مجاني APK
Hisnul Muslim | حصن المسلم APK
مجموعة التفاسير- تفسير القرآن APK
مكتبة العلامة المحدث الالباني APK
المزيد من Netwebsites
التطبيقات والألعاب الأكثر تنزيلًا
فیلتر شکن جدید و قوی،فیلتر شکن قوی و پرسرعت رایگان APK