MAKAZI APK
معلومات
الإصدار 3.7.0 (#30700000)
محدث 24 May 2020
حجم ملف APK 4 MB
يتطلب Android Android 4.1+ (Jelly Bean)
مطوّر البرامج Netwebsites
الفئة المنزل (تطبيق)
ID com.makazi.app
ملاحظات المطور Ramani za Nyumba، Makadirio، Mafundi، Ushauri، Viwanja، Vifaa ktk Ujenzi Makazi!
صورة الشاشة
انقر على الصورة لرؤية الحجم الكامل
جدول المحتويات
الميزات الجديدة
ما هو الجديد في MAKAZI 3.7.0
Questions and answers
Fix broken links
الوصف
Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!
Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa، Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu، Kuunganishwa na mafundi ujenzi، Kufanya makadirio ya gharama na vifaa، Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viwanja vya makazi. Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi.
Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa. Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!
Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!
Ramani za Nyumba، Makadirio، Ushauri، Mafundi، Vifaa، Viwanja…!
التقييمات والمراجعات
التقييم: 5.0 / 5 · Less than 100 صوتًا
(*) مطلوب
الإصدارات السابقة
متشابهة
المزيد من Netwebsites
التطبيقات والألعاب الأكثر تنزيلًا
فیلتر شکن جدید و قوی،فیلتر شکن قوی و پرسرعت رایگان APK