ApkDownload

Cheka Point - Vichekesho APK

Latest Version 1.8 for Windows
Updated 2020-06-25

App information

Version 1.8 (#10)

Updated 2020-06-25

APK Size 13 MB

Requires Android Android 4.1+ (Jelly Bean)

Offered by Teeknet

Category Free Social App

App id com.videovichekesho.teeknet

Developer's notes Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho

Screenshot

Click on the image to see full size

Latest updates

What's new in Cheka Point - Vichekesho 1.8

Sasa Pakua WhatsApp Status kwa urahisi
Uliza maswali upate majibu pitia Telegram
Mitandao ya kijamii
Bugs Fix and Perfomance Improved

Editor's review

Download the latest Cheka Point - Vichekesho application, version 1.8, compatible with Windows 10/11 (using emulators such as Bluestacks), Android devices. This free Social app is developed by Teeknet and is easy to download and install.

Previous versions, including 1.8, are also available. If you need help or have any problems, please let us know.

Description

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

App permissions

Cheka Point - Vichekesho 1.8 APK requires following permissions:

Allows applications to open network sockets.

Allows applications to access information about networks.

Allows read only access to phone state, including the phone number of the device, current cellular network information, the status of any ongoing calls, and a list of any PhoneAccounts registered on the device.

Allows an application to read from external storage.

Allows an application to write to external storage.

Allows applications to set the wallpaper.

Allows applications to set the wallpaper hints.

Allows an application to clear the caches of all installed applications on the device.

Allows using PowerManager WakeLocks to keep processor from sleeping or screen from dimming.

Allows access to the vibrator.

Ratings and Reviews

Rating: 4.1/5 based on Less than 100 reviews

(*) is required

2 ★ app ni nzuri point ni nzuri kwa sasa acga niwape nyota mbili nikifanikiwa kutoa hy hela nitawapa 5star na nita share kwa marafiki

5 ★ good iko poa..

5 ★ Nzuri sanaaa

5 ★ good Sana

5 ★ good

5 ★ good

5 ★ Good

3 ★ nice

1 ★ Hii application ni ya ajabu ukifika kiwango cha kutoa hela inakataa kisha hakuna sehemu ya kuzirudisha point zako nawashauri achaneni na hii application ni ya uwongo hamna hela wanayotoa. ukituma mawasiliano hawajibu wanakaa kimya

Previous versions

Cheka Point - Vichekesho 1.8 APK for Windows (#10, 13 MB)