ApkDownload

Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK

Latest Version 1.2.1 for Windows
Updated 2023-12-21

App information

Version 1.2.1 (#20161129)

Updated 2023-12-21

APK Size 68 MB

Requires Android Android 2.3+ (Gingerbread)

Offered by Ubongo

Category Free Education App

App id com.ubongokids.ratmathKis

Developer's notes Msaidie Kibena kuhamisha panya kwa kujiunga nae kwenye kitabu hiki cha maajabu!

Screenshot

Click on the image to see full size

Latest updates

What's new in Ubongo Kids - Hesabu za Panya 1.2.1

Enhanced performance and user experience

Editor's review

Download the latest Ubongo Kids - Hesabu za Panya application, version 1.2.1, compatible with Windows 10/11 (using emulators such as Bluestacks), Android devices. This free Education app is developed by Ubongo and is easy to download and install.

Previous versions, including 1.2.1, are also available. If you need help or have any problems, please let us know.

Description

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.
Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.


JIFUNZE:
Thamani za namba
Kujumlisha
Kutoa
Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?
Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:
Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

App permissions

Ubongo Kids - Hesabu za Panya 1.2.1 APK requires following permissions:

Allows applications to open network sockets.

Allows using PowerManager WakeLocks to keep processor from sleeping or screen from dimming.

Allows applications to access information about networks.

Allows applications to access information about Wi-Fi networks.

Allows an application to write to external storage.

Allows an application to read from external storage.

Ratings and Reviews

Rating: 4.3/5 based on 6+ reviews

(*) is required

5 ★ So unique in east Africa

5 ★ Safi sana. Watoto wanaipenda sana

5 ★ Mpo vizuri sana kwani mnaelimisha

5 ★ Nizuri mno na inaelimisha

5 ★ It's the best ever

5 ★ Safi sanaaaaaaaaa kwa watoto

4 ★ Yes I like

5 ★ Mpo vizuri kwani watoto wana enjoy mno..

5 ★ Ubungo kids mpo vizuri

1 ★ Naipenda sana

1 ★ Herufi na akili

5 ★ Big up

5 ★ Nimeipenda

5 ★ Good

4 ★ Good

Previous versions

Ubongo Kids - Hesabu za Panya 1.2.1 APK for Windows (#20161129, 68 MB)