BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko APK
App information
Version 3.4 (#14)
Updated 2021-04-21
APK Size 12.1 MB
Requires Android Android 4.1+ (Jelly Bean)
Offered by Fatuma Inc
Category Free Entertainment App
App id com.fatuma.pumba
Developer's notes BongoMeme Pata Video Fupi Za Vichekesho, Vituko, Vunjambavu maalum kwa status
Screenshot
Click on the image to see full size
Table of contents
Latest updates
What's new in BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.4
Categories mbalimbali zimeongezwa
Sasa kila mtu anauwezo wa ku sign in na kuweka vichekesho vyake
Matangazo yamepunguzwa kwa kiasi kikubwa
Video player imeboreshwa na kuwa ya mvuto zaidi
Minor bugs fixed!
Editor's review
Download the latest BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko application, version 3.4, compatible with Windows 10/11 (using emulators such as Bluestacks), Android devices. This free Entertainment app is developed by Fatuma Inc and is easy to download and install.
Previous versions, including 3.4, 3.3, are also available. If you need help or have any problems, please let us know.
Description
😱 HATUJAMALIZA BADO 😱
Achana na App za kiboya za vichekesho ndani ya app una uwezo wa kudownload chochote na kupost kichekesho chochote kupitia profile account yako Videos, Memes, Funny Pictures, Quotes na mazagazaga mengine kibaooo 😉
😲 LAKINI PIAAAA 😲
Pata Vichekesho vya mfumo mbalimbali wa kijanja....ulijua ni video za vichekesho tuuu?...... Utafeli weweee 😂😂😂 check list nzima chini: 👇👇
🔥 VIDEO ZA VICHEKESHO, VITUKO, VUNJAMBAVU 🔥
Segment hii unapata video zote kali na za kucheckesha zinazobamba mitandaoni nje na ndani ya taifa la bongo kama: Mkali wenu, Joti, Mpoki, Jalal Brothers, Kingbach, Logan Paul, Mkude simba, Bwakila, masanja,Jaymondy, Dullvanni, Ebitoke, Anko Zumo, Katarina wa Karatu....na Funny Videos nyingine kibao kama:
🤜- Vichekesho Vya Anko Zumo
🤜- Vichekesho Vya Joti
🤜- Vichekesho Vya Stan Bakora
🤜- Vichekesho Vya Ebitoke
🤜- Vichekesho Vya Dullvanni
🤜- Vichekesho Vya Jaymondy
🤜- Vichekesho Vya Mkali Wenu
😂😂😂 Na Udambwi Udambwi mwingine kibaaaaoo wa motoooo 😂😂😂
🔥 PICHA ZA VICHEKESHO {BONGO MEME} 🔥
Ndani ya picha za vichekesho | vituko | vunjambavu unapata mkusanyiko wa memes za kuwafurahisha friends kwenye status mitandaoni kwa urahisi. Chap bila zengwe daka memes toka kwa wakali wa IG kama Mr.Misifa,Abuu Maujanja, Ally Muzungu, Bongo Katuni, Daquan na wengine kibao......check meme kama:
😂- Vichekesho Vya Mr.Misifa
😂- Vichekesho Vya Abuu Maujanja
😂- Vichekesho Vya Ally Muzungu
😂- Vichekesho Vya Bongo Katuni
😂- love memes
😂- relationship memes
😂- new memes
😂- popular memes
MAIN BONGOMEME VIDEOS FEATURES:
★Uwezo wa ku download videos, memes, quotes, gif files
★Share kama status kwenye mitandao ya kijamii
★Uwezo wa kutumika kama Status saver
★Matangazo machache
★Haitumii bundle kubwa i.e video ni fupi
★Tumia Bila Bundle i.e angalia saved videos
★Muenekano mzuri na wa kijanja
DISCLAIMER:
We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.
App permissions
BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.4 APK requires following permissions:
Allows applications to open network sockets.
Allows applications to access information about networks.
Allows read only access to phone state, including the phone number of the device, current cellular network information, the status of any ongoing calls, and a list of any PhoneAccounts registered on the device.
Allows an application to read from external storage.
Allows an application to write to external storage.
Allows applications to set the wallpaper.
Allows applications to set the wallpaper hints.
Allows an application to clear the caches of all installed applications on the device.
Allows using PowerManager WakeLocks to keep processor from sleeping or screen from dimming.
Allows access to the vibrator.
Ratings and Reviews
Rating: 4.3/5 based on Less than 100 reviews
(*) is required
5 ★ vichekesho bomba sana nimeipenda naweza ku download
5 ★ Asee huwa nacheka sana kila nikifungua app yenu big up sana mnajua mnachokifanya App ni nzuri mnoo
5 ★ App ni bomba balaaaa nimeipenda sana
5 ★ nacheka daily app nzuri kinoma
5 ★ app nzuri kinoma
5 ★ kali kinoma
5 ★ Yamotooiii 🔥🔥🔥🔥
Previous versions
BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.4 APK for Windows (#14, 12.1 MB)
BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko 3.3 APK for Windows (#13, 13.2 MB)
Similar to BongoMeme - Vichekesho Na Video Za Vituko
Christmas Video Maker 2024 APK
Dullvani Comedy. Videos - Vichekesho APK
More from Fatuma Inc
Best Funny Videos - Home Of Ridiculousness Videos APK
Top download apps
Resso Music - Songs & Lyrics APK